Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Jimbo la Lindi Mjini.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, jana amaepata mapokezi makubwa
katika mkutano wa kunadi sera za Ukawa pamoja na kuomba kura kwa
wananchi.
Katika mkutano huo wanachama zaidi ya elfu tatu kutoka Chama cha
Mapinduzi walihamia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi
katika mkutano ambao uifanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Pilipili,Lindi Mjini.
Tazama hapa matukio katika picha yaliyojiri katika mkutano huo,
Waziri
Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la
Lindi Mjini, kabla ya kumkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF
kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo
lake hilo.
Wananchi waliofurika mkutano wa UKAWA uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015
<a
href='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/ck.php?n=a08724c9&cb=Math.random()'
target='_blank'><img
src='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/avw.php?zoneid=19&source=https%3A%2F%2Fmpakasi.com&cb=Math.random()&n=a08724c9'
border='0' alt='' /></a>
Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango katika mkutano huo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo
la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa
UKAWA, Salum Barwany.
Blogger Comment
Facebook Comment