Papa Francis atoa ya Moyoni kashfa ya Makasisi



Papa Francis akihutibia Washington Marekani.
Papa Francis akihutibia Washington Marekani.
Papa Francis ametoa ya moyoni wakati akihutubia maaaskofu huko nchini Marekani katika siku ya pili ya ziara yake na kuwasifu kwa jinsi walivyokabiliana na kashfa ya udhalilishaji wa kimapenzi inayowakabili makasisi takriban miaka kumi iliyopita.
Aidha, inadaiwa  kuwa kitendo  cha papa huyo kuacha kuwatembelea waathirika waliofanyiwa vitendo hivyo huenda kikawauzunisha baadhi ya wakatoliki.
Papa alifanya ibada ya kipapa kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Marekani. Mapema papa alitoa wito kufanyika hatua kukabilina na tatizo la mabadiliko ya tabia ya nchi.
Akiwa katika ikulu ya white house papa alisema suala la mapambano dhidi ya mabadililko ya tabia ya nchi lisiachiwe vizazi vijavyo.
Maelefu ya wamarekani walijipanga njiani kumlaki wakati alipokuwa akitoka ndani ya ikulu ya White House ambapo wangine walitumia simu zao za mkononi kupata picha za kumbukumbu.


 @HIVI SASA BLOG

Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment