Marekani inakusudia kutoa jumla ya Dola za nchi hiyo milioni 45, zitakazotumika katika operesheni dhidi ya kundi la Boko Haram.
Taarifa kutoka nchini humo, zinasema ikulu imeahidi kutoa kwa Jeshi la Umoja wa Afrika, huduma za ulinzi na mafunzo ya kijeshi pamoja na vifaa.
Kundi hilo linashikilia maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na pia hufanya mashambulizi ya kila mara katika nchi jirani za Cameroon , Chad na Niger.
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment