Magufuli aitikisa Bumbuli, aahidi neema sekta ya ulinzi




Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge
jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia jimbo la Bumbuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia jimbo la Bumbuli.
Wakazi wa Jimbo la Bumbuli wakifuatilia kwa makini mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Wakazi wa Jimbo la Bumbuli wakifuatilia kwa makini mkutano wa Mgombea wa Urais
kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli amepata mapokezi makubwa  mkoani Tanga katika wilaya zote alizotembelea ikiwemo Korogwe, Mkinga na Lushoto.
Akizungumza wakati wa kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli Januari Makamba Dk. Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuwa rais wa Tanzania ata hakikisha kuwa anaboresha maslahi ya watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini kutokana na kutambua
mchango wao katika kulinda amani ya nchi yetu.
Ameongeza kuwa amepanga watumishi wa  jeshi wawe na mishahara  mizuri ili waweze kufanya kazi ya ulinzi na usalama wa nchi kwa ufanisi zaidi huku akitumia nafasi hiyo kuomba Watanzania kudumisha  amani ya nchi.
Hivisasa joto la uchaguzi limepanda   huku siku za kufanyika Uchaguzi  mkuu  zikiwa  zinakaribia ambapo  utafanyika  tarehe  25 octoba mwaka 2015.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: