Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimempitisha Chief Lutasola Yemba kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Tanzania Bara.
Aidha, katika mkutano huo ambao ni mkutano mkuu tatu wa chama hicho uliofanyika jijini Dar es salaam pia umemtangaza mgombea mwenza wa urais kwa Tanzania bara ambaye ni Said Miraji.
Kwa upande wa Zanzibar Mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao ni Hamad Rashid Hamad
0 comments:
Post a Comment