Gari aina ya kenta usiku wa leo alfajiri gari bado halijaamika limewaka moto na kuua watu waliokuwa ndani ya gari hilo ndani ya miilima ya gangi tololi wilaya ya ludewa mkoa wa njombe,,
chanzo cha ajari hiyo bado hakijafahamika ila kaa nami nitakujuza mengi zaidi juu ya ajari hiyo
chanzo cha ajari hiyo bado hakijafahamika ila kaa nami nitakujuza mengi zaidi juu ya ajari hiyo
0 comments:
Post a Comment