Waziri mkuu wa Zamani Edward Lowassa akiwasalimia wananchi alipowasili nje ya ofisi za makao makuu ya Chadema leo.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lowassa akichukua fomu ya kugombea
urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) leo makao
makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kwa habari picha tazama hapa……………………..
Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akionesha fomu za urais nje ya ofisi za makao makuu ya Chadema leo jijini Dar es salaam.
Wananchi wakimchanngia fedha Mbunge wa Monduli Edward Lowassa.
Mgombea Ubunge Sais Kubenea mwenye koti la suti (katikati) akizungumza jambo na baadhi ya wanachama wa Chadema.
Mbunge God Bless Lema( wa kwanza kushoto)katika mkutano wa kumkaribisha Edward Lowassa.
Vijana wa Ulinzi wa Chadema wakilinda usalama katika eneo la Makao makuu ya Cahdema.
Mamia ya wananchi walio hudhria mkutano huo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment