Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akionesha fomu ya kugombea urais mara baada ya kukabidhiwa leo.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa leo amechua fomu ya kugombea urais
kwa tiketi ya Chadema katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Chadema
Kinondoni jijini Dar es salaam.
Umati mkubwa wa wananchi umejitokeza kushuhudia tukio hilo
Mwenyekiti
wa Chadema Freeman Mbowe akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mbunge wa
Monduli Edward Lowassa leo makao makuu ya Chadema.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akiwasalimia wananchi.
Lowassa akiwaonesha fomu wananchi leo makao makuu ya chadema.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment