Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga wamewasili salama kwenye mjini Gaborone,Botswana na kuelekea moja kwa moja Hoteli ya Oasis. Kocha msaidizi wa Yanga Boniface Mkwasa(kulia) akiwa karibu na mshambuliaji wake Amis Tambwe kwenye mapokezi katika hoteli ya Oasis mjini Gaborone nchini Botswana. Yanga ilishinda kwa mabao 2-0 kwenye mechi ya awali dhidi ya BDF XI.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment