LUDEWA NA CHACHU YA MAENDELEO

mtunzi.barnabas njenjema 

UTANGULIZI 

Moja kati ya vitu ambavyo vitamtakavyo mtambulisha BARNABAS NJENJEMA ni pamoja na kazi yake nzuri ya kuandika stori mbalimbali za kijamii ikiwa na lengo la kuwaunganisha wakazi pamoja na wananchi wa Ludewa mkoa wa Njombe tuwe kitu kimoja,


kutona na hayo vitabu mballimbali vinavyotoka hapa njenje publisher vitausisha hali harisi ya  maisha ya wakazi wa Ludewa mkoa wa Njombe.kuanzia na utamaduni,siasa,michezo,dini,makabila pamoja na mapenzi,



SEHEMUYA KWANZA.

KIJIJI CHANGU.

Sehemu ya kwanza ya kitabu hiki ni historia fupi  ya Wilaya ya Ludewa tangu kuanzishwa kwake hadi sasa ilipo pia tutaangalia mambo mbalimbali ya siasa, uchumi na michezo ndani ya wilaya yetu na hata wilaya za jirani.

KIJIJI Changu kitawakilisha watu mbalimbal wanaoijua vizuri kijiji cha Ludewa tangu enzi za ukoloni hadi sasa.


SEHEM YA PILI JITAMBUE.

KUJITAMBUA NI SEHEMU ya viongozi kuelewa jamii jamii yake  utapata mambo muhimu yaunayotakiwa kufanya kwa sasa na baadae ili uweze kikabiliana na changamoto mbali mbali ambazo zinatukaili wananchi wa ludewa na mitaa yake,


SEHEM YA TATU siasa

moja kati ya vitu vilivyo teka hisia za wananchi kwa sasa ni pamoja na siasa njoo kwa pamoja tujadili ninikifanyike kwa wilaya yetu kwa medani za siasa tufanye nini ilitufikie malengo ya wilaya kwa pamoja,

hapa tutapata fursa ya kuwa pamoja nawanasiasa wa hapa ludewa ikiwa ni pamoja na Cristopher Mtikira,Deo Filikunjombe pamoja na Stanley Kolimba, pamoja na mwanaharakati Oscar Komba. 


SEHEMU YA NNE MICHEZO

MOJA kati ya sekta muhimu ya kuweza kuibadili jamii ya ludewa  tupate kufahamika na kijulikana kitaifa.

wilaya ya ludewa ina wanamichezo wengi na wazuri wa kuweza kufanya vizuri ila ni mikakati mibovu isiyokuwa na fikra tunashindwa kusonga mbele.

utasikia wanamichezo maarufu wa hapa Ludewa wataeleza ni nini cha kufanya ili tupate kuwa mbele nasi katika michezo,

 

Huu ni mwongozo mfupi wa kitabu kitakacho kujia hivi punde kiitwacho LUDEWA NA CHACHU YA MAENDELEO.,

maawazo yako juu hili ili kuweza kufanikisha shughuli hii nzito ya kufungua macho wanaludewa tupate kujikkomboa na matatizo yasiyo leta maendeleo wilayani kwako.


ushauri wako unahitaji ili kuweza kufanikisha hili.

ahsante kwa nyote.

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: