Papa Francis ametangaza rasmi mpango wake wa kudhuru Afrika kwa mara ya kwanza akianzia Uganda na kumalizia ziara yake kwenye Jamhuri ya Afrika ya Kati mwishoni mwa 2015. Papa athibitisha kuwa ziara hiyo itakuwa mwishoni mwa msimu baada ya ziara yake ya wiki moja kwa nchi za Asia kupokelewa kwa idadi kubwa ya watu.
Papa Francis ambaye ni Papa wa kwanza kutoka Amerika Kusini ametangaza ziara ya Mwezi Juni kwenye nchi za Ecuador,Bolivia na Paraguay. Ujio wa Papa nchini Uganda unachagizwa pia na ziara ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye alishamtembelea kiongozi huyo mara tu alipochaguliwa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment