Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!.. Mtayarishaji wa filamu kutoka Ghana Prince Richard ameamua kwenda kumpigia magoti mpenzi wake wa zamani ‘Yvonn Cherly’ maarufu kwa jina la ‘Monalisa’ ambapo Prince alimfuata Mona maeneo ya Tabata Segerea ili aweze kumuomba msahama baada ya kumkosea, lakini alijikuta akigonga mwamba kutokana na Mona kukataa. Msanii mkongwe wa filamu Tanzania Vyonne Cherly ‘Monalisa” Inadaiwa kuwa Richard alimbembeleza sana Mona huku akimpigia magoti lakini aliendelea kutiliwa ngumu na mwisho alimwambia kuwa yeye hahitaji kumsamehe. Monalisa, mke wa zamani wa mtayarishaji mwingine maarufu, marehemu George Otieno ‘Tyson’, alikiri kumuona Richard lakini akakataa kuongelea lolote kuhusu ishu hiyo
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: