Mourihno ataka kumsajili Gerald

Kocha mwenye majigambo ya hali ya juu nchini Uingereza Jose Mourihno akihojiwa na kituo kimoja cha radio nchini Uingereza ametoa maneno ya kejeli kwa nahodha Steven Gerard kwa kusema kuwa angemsajili nahodha wa Liverpool Steven Gerard kwa mkopo mwisho wa msimu kipindi ambacho Gerard atakuwa anaelekea klabu la Marekani LA Galaxy.
Kocha huyo aliongĂȘa maneno hayo kuelekea kwenye mpambano wa nusu fainali ya Kombe la Ligi ambayo iliishia 1-1.
Mourihno ashangazwa kwa kitendo cha nahodha huyo kuikacha ligi ya Uingereza na kuelekea Marekani licha ya ubora alionao mchezaji huyo huku akikimbuka jinsi alivyomkosa kumsajili mchezaji huyo msimu wa 2005.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: