MAJAMBAZI WATIKISA JIJI KUELEKEA X-MASS

Watu wanaosadikiwa ni majambazi wamevamia duka la TIGOPESA,MPESA lililopo mitaa ya Morocco nyuma kabisa na Jengo la Airtel na kumjeruhi kwa risasi mwanamke aliyekuwa anapita karibu na eneo la tukio.Kwa habari zaidi zanasema dada aliyepigwa risasi bado yuko hai baada ya risasi iliyopigwa kumparua tu.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: