ESCROW YAMSIMAMISHA KAZI MASWI

i wish u happy chrismass and new year Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow linazidi kuwakumba vigogo serikali ambapo katibu mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amemsimamisha kazi rasmi katibu mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi kupisha uchunguzi dhidi ya kutowajibika katika katika sakata hilo. Aidha, Balozi Ombeni Sefue amemsimamisha kazi Bw. Maswi kuanzia Jumanne ya Desemba 23,2014 kwa mamlaka aliyonayo kwa watumishi wa umma wanaoteuliwa na Rais. Naibu katibu mkuu Wizara ya Nishati na maadini Mhandisi Ngosi C. Mwihava atakaimu nafasi ya Katibu Mkuu Bw. Maswi hadi pale uchunguzi utakapokamilika dhidi tuhuma zinazomkabili
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: