AL- SHABAAB WAISHAMBULIA TENA KENYA

Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya. Askari hao wa Kenya wanadaiwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa kundi la Al Shabaab. Askari hao wa jeshi la polisi kikosi cha ziada walikutwa na mkasa huo mjini Wajir kaskazini mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: