AJALI:LORI LA MAFUTA LALIPUKA BAADA YA KUGONGA TUTA
Huku majanga ya Ajali yakiendelea kulikumba jiji la Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ubungo Lori la Mafuta limepinduka na kulipuka na hivyo kuleta hadha kubwa ya foleni kwa wakazi hasa wanaotumia Barabara ya Morogoro
0 comments:
Post a Comment