RAPPER NAY WA MITEGO APATA MTOTO WA KIUME
Rapper Nay Wa Mitego hawezi kuisahau siku ya jana Jumanne 27.10.2014 katika maisha yake kwani ni siku ambayo alipata mtoto wa kiume
Imekuwa ni furaha zaidi kwa raper huyo kwani jana alikuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi lakini ghafla akapigiwa siku yenye habari njema ya kumtaarifu kuwa mchumba wake amejifungua mtoto wa kiume siku hiyo hiyo
0 comments:
Post a Comment