
Ni moja kati ya vipaji vilivyoibuliwa katika shindano la
Bss hapa Tanzania.Muite
Chiku Keto ambaye ni moja kati ya wasanii bora wa muziki hip hop katika upande wa wasanii wa kike wanaofanya hip hop.
Chiku aliambia
Team tizniz “NI muda mrefu nipo
kimya sana,sasa ni wakati wangu kurudi vyema katika game ya muziki
huu,ngoma yangu nimefanya ndani ya Plexity record na producer akiwa ni
Zest.Ngoma hiyo inatwa
Bad girl soldier
Hii itakuwa ni audio pekee,s
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment