Roma aliweka wazi juu ya yeye kufanya kazi na wasanii wa kike hapa inchini baada ya kuulizwa na mmoja kati ya watu wanounda team tizniz,ni kwanini hajawahi kufanya kazi na wasanii wa kike?
Roma alisema “zipo nyimbo nyingi tu za roma ameshirikisha watu wengi tu sema hazijatoka ila ikitoka album utaisikia sauti mbalimbali za wasnii wa kike yupo mwasiti,chiku,maunda, lina na wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment