TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA YA GOAL



Tunapokaribia kumaliza mwaka, timu ya wahariri ya Goal inapenda kuzinduz rasmi Tuzo za mchezaji bora wa mwaka ya Goal
Imekuwa mwaka mwingine wa kuvutia katika soka ya Afrika, Cameruni imeshinda Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Februari, timu tano bora za bara la Afrika zimefuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka ujao baada ya kampeni ya kufurahisha, na wachezaji wa nyota wa Kiafrika wakiwika katika ligi kuu mbalimbali duniani kote.
Lakini ni wachezaji ambao waliwika zaidi miezi katika 12 iliyopita?
Ni nani wachezaji gani wa Kiafrika waliofanya vizuri kiasi cha hata kukubalika na wenzao kwamba wao kweli ni mashuhuri kwa mwaka 2017?
Ni mchezaji gani ambaye mwaka 2017 ulikua wa kwake?
Kwa mwezi uliopita, timu ya waandishi wa Goal Afrika wamekuwa wakitafakari kwa kina ni wachezaji gani wanaopaswa kuwepo katika timu yetu ya mwaka na pia mchezaji mmoja anayepaswa kuwa ndiye bora zaidi wa Kiafrika kwa mwaka 2017
Tumepimwa uwezo wa wachezaji kulingana na mafanikio yao msimu huu, mchango wao kwa mafanikio ya timu ama katika ngazi ya klabu au kimataifa, ushirikiano wao na kiwango chao cha utendaji
Tumeangalia vigezo mbalimbali zikiwemo timu za mwa, wachezaji katika ligi za Afrika za ndani, waliochagualiwa katika  katika tuzo za CAF, waliofanya vyema katika mashindano ya CAF, pamoja na majina makubwa katika ligi kuu za Ulaya zote.
cameroon
Tumeangalia vigezo mbalimbali zikiwemo timu za mwaka , wachezaji katika ligi za Afrika za ndani, waliochagualiwa katika katika tuzo za CAF, waliofanya vyema katika mashindano ya CAF, pamoja na majina makubwa katika ligi kuu za Ulaya.
Katika wiki mbili zifuatazo, tutaanza kuweka hadharani majina ya wachezaji wanaowania kuwemo katika timu ya Mwaka ya Goal, ikifuatiwa na kikosi cha mwaka na mwisho kumtangaza mshindi wa Tuzo ya Goal ya mchezaji bora wa mwaka.
Je, ni mchezaji gani unampa nafasi ya kuwemo katika kikosi chetu cha mwaka, na ni mchezaji gani anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka?
Tupe maoni yako kwa kushiriki katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii ukitumia hashtag #GoalAfricaPOTY




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: