Pierre-Emerick Aubameyang, Mohamed Salah na Sadio Mane ndiyo wachezaji watatu waliosalia kwa wanaowania mchezaji bora wa mwaka Afrika baada ya nyota hao kupata kura nyingi
Riyard Mahrez wa Leicester City raia wa Algeria ndiye anayeshikilia tuzo hiyo baada ya kuinyakuwa mwaka jana, mshindi wa tuzo hiyo anachaguliwa kutokana na kura za makocha wa timu za Taifa ambao ni wanachama wa CAF pamoja na wakurugenzi wa ufundi katika mataifa hayo
Tuzo hizo ambazo zitatolewa nchini Ghana, Januari 4 ni kama ifuatavyo:
Mchezaji bora wa kiume wa mwaka
Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Mchezaji bora chipukizi wa mwaka
Krepin Diatta (Senegal & Sarpsborg 08 FF)
Patson Daka (Zambia & FC Liefering)
Salam Giddou (Mali & Guidars FC)
Patson Daka (Zambia & FC Liefering)
Salam Giddou (Mali & Guidars FC)
Kocha bora wa mwaka:
Gernot Rohr (Nigeria)
Hector Cuper (Egypt)
L'Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)
Hector Cuper (Egypt)
L'Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)
Mchezaji bora wa kike wa mwaka
Asisat Oshoala (Nigeria & Dalian Quanjian)
Chrestina Kgatlana (South Africa & UWC Ladies)
Gabrielle Aboudi Onguene (Cameroon & CSKA Moscow)
Chrestina Kgatlana (South Africa & UWC Ladies)
Gabrielle Aboudi Onguene (Cameroon & CSKA Moscow)
Timu bora ya kike ya mwaka
Ghana U-20
Nigeria U-20
South Africa
Nigeria U-20
South Africa
Timu bora ya kiume ya mwaka
Cameroon
Egypt
Nigeria
Egypt
Nigeria
Klabu bora ya mwaka
Al Ahly
TP Mazembe
Wydad Athletic Club
TP Mazembe
Wydad Athletic Club
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment