Tatizo la weusi chini ya macho



Tatizo la weusi chini ya macho baadhi ya watu tatizo inawezekana kuwa ni dalili za ambazo husababishwa na allergies na uchovu .Haijalishi nini kinachosabababisha lakini unaweza kupunguza weusi chini ya macho yako na kwa jinsi nyingine inawezekena kutokomeza kabisa.Unaweza kutumia matibabu ambayo yatatibu na kuondoa weusi kwenye macho yako.
Waweza tumia vipande vya matango kwa kuweka vipande hivyo kwenye macho yako kaanavyo kwa muda wa dakika 10-15 kila siku.

Pia kama ni tatizo linalosababishwa na allegie unatakiwa kuhakikisha unatibu hili tatizo ambalo linakusababishia kupata hiyo allegie kama allegie hiyo ni ya muda kama homa kali ambayo inaweza kutibiwa.Kama allegie yako ni constant inaweza kuwa inatokana na vyakula au allergie ya chemicals sehemu unayoishi.Unatakiwa kuonanana na dactari ilikukusaidia kujua allegie hiyo inasababishwa na nini na anaweza kukusaidie utumie nini ili kuondoa tatizo hilo.
Lala kwa masaa 7-9 usiku ndio kitu kikubwa unachostahili kufanya ili kuepuka tatizo la weusi chini ya macho. Pia utumiaji wa vilevi na madawa vinaweza kusababisha kutolala vizuri na pia ukitaka kumaliza tatizo hili la weusi chini ya macho unatakiwa pia kupunguza (stress) msongo wa mawazo, lala kwa masaa yanayo takiwa, kula proper vyakula vyenye vitamins na madini.
Hudumia ngozi yako wakati ukiwa umelaa kwa kufanya overnight facial mask ambayo ipo. Kabla ya kulala chukua kipande cha nguo na kiloanishe kidogo na maji ya baridi then kikamue na uhakikishe hakina maji then kiweke kwenye macho yako unapolala.
Pia waweza kutumia majani ya chai kwa kuweka kwenye kitambaa kilaini au waweza kutumia tea bags baridi ambayo utaweza kuweka kwenye jokofu ambapo usiku kabla ya kulala yawe tayari ambapo utaweka kwa muda wa dakika 10-15 wakati ukiwa umefunga macho. Majani ya chai yatasaidia kurefresh ngozi yako inayozunguka macho yako.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: