Baadhi ya vidokezo kwa ajili ya utunzaji wa mikono yako


Ngozi ya mikono ni nyembamba na laini hivyo unatakiwa kuitunza kwahiyo moisturize mikono yako at list mara 4 kwa siku. 
  • Mara moja kwa wiki paka cream unayotumia usoni kabla ya kwenda kulala.
  • Kama nikono yako ni michafu baada ya kuosha kwa sabuni then lowanisha tena.Weka chumvi na scrub kwenye maji then ikaushe na paka moisturizer kama vile Avon, Aloe Vare Moisture lotion, Olive, vaseline .
  • Pia kama mikono yako inamikunjo paka moisturizer.
  • Vaa gloves wakati ukiwa unafanya kazi nyumbani na kweney bustani.
  • Linda mikono yako kwenye wakati ukiwa unafanya kazi kwenye jua na wakati wa mabadilikoya hali ya hewa.
  • Njia nzuri ni kuhakikisha unaijali na unaitunza mikono yako kila siku.


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: