BURUNDI YAMUITA NYOTA WA ZAMANI WA SOFAPAKA KWA AJILI YA MICHUANO YA CECAFA
Burundi imeita kikosi imara kwa ajili ya kushiriki kombe la Cecafa linalotarajiwa kuanza tarehe 3 Desemba nchini Kenya.
Kikosi cha wachezaji 25 kilichowekwa wazi na Olivier Niyungeko, kina nyota wa zamani wa Sofapaka Abdul Razak.
Rakaz alipamba vichwa vya habari wakati akijiunga na Batoto Ba Mungu kwa milioni 2.1 kwa mkopo kutoka Burundi, Akademia ya Lydia Ludic mwaka 2014.
Razak baadaye alihamia Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mwaka 2015. Burundi ipo Kundi 'B' na mabingwa wenye rekodi bora ya michuano hiyo, Uganda, Zimbabwe, Ethiopia na Sudan Kusini.
Jeshi la Kenya lipo na Libya, Tanzania, Zanzibar na Rwanda katika kundi 'A'. Michuano hiyo itafanyika kwa wiki mbili kuanzia December 3 hadi December 17 katika miji ya Kisumu, Kakamega na Nakuru.
Kikosi kamili cha Burund .Magolikipa Nahimana Jonathan, Rukundo Onesime, Mutombolo Fabie; Walinzi: Ndoriyobija Eric, Harerimana Rashid Leon, Moussa Omar, David Nshimirimana, Barisinze Nassor, Ndukumana Tresor, Mwenebantu John, Kamana Ismael; Viungo: Kwizera Pierre, Duhayindavyi Gael, Urasenga Cedrick, Ndayishimiye Youssouf, Nahimana Shasiri, Hererimana Moussa, Ndikumana Moussa; Washambuliaji: Silim Saidi, Iddy Muselemu, Moussa Mossi, Shabani Hussein, Shaka Bienvienue, Mavugo Laudit na Abdul Razak
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment