Wachezaji bora wawili duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi bado wako mbele ya wachezaji wenye kipato kikubwa kabisa katika ulimwengu wa soka. Washindi FIFA Ballon d’Or wana mikataba ya kipekee katika klabu zao ambapo wanalipwa mishahara baada ya kutoa ushuru.
Ronaldo, ambaye hivi karibuni alisaidia Ureno kushinda Euro 2016, anaongoza orodha na elfu 288,000 za pauni kwa wiki baada ya kulipa ushuru (milioni 15 za pauni – kwa mwaka) wakati Messi anashikiria nafasi ya pili katika orodha na £275,000 kwa wiki (milioni 14.5 za pauni kwa mwaka).
Baada ya Manchester United kuandika rekodi ya dunia ya kulipa pauni milioni 89 (milioni 115,980,000 za dola) kumsajili Paul Pogba, ambaye alisaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya elfu 290,000 za pauni kwa wiki, na uwezekano wa kuongeza mwaka mmoja zaidi, Sokkaa imeangalie wachezaji 15 ambao hulipwa mshahara mkubwa katika soka duniani Leo.
15. Eden Hazard (Chelsea)
Mshahara wa wiki: £185,000
Mshahara wa mwaka: £9.6m
14. Bastian Schweinsteiger (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £200,000
Mshahara wa mwaka: £10m
13. David De Gea (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £200,000
Mshahara wa mwaka: £10m
12. Gareth Bale (Real Madrid)
Mshahara wa wiki: £200,000
Mshahara wa mwaka: £10m
11. Luis Suarez (Barcelona)
Mshahara wa wiki: £205,000
Mshahara wa mwaka: £10.66m
10. David Silva (Manchester City)
Mshahara wa wiki: £210,000
Mshahara wa mwaka: £10.9m
9. Neymar (Barcelona)
Mshahara wa wiki: £220,000
Mshahara wa mwaka:£11.4m
8. Asamoah Gyan (Shanghai SIPG)
Mshahara wa wiki: £227,000
Mshahara wa mwaka: £11.8m
7. Sergio Aguero (Manchester City)
Mshahara wa wiki: £230,000
Mshahara wa mwaka: £11.9m
6. Yaya Toure (Manchester City)
Mshahara wa wiki: £230,000
Mshahara wa mwaka: £11.9m
5. Zlatan Ibrahimovic (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £220,000
Mshahara wa mwaka: £11.4m
4. Wayne Rooney (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £250,000
Mshahara wa mwaka: £13m
3. Paul Pogba (Manchester United)
Mshahara wa wiki: £290,000
Mshahara wa mwaka:£13.9m
2. Lionel Messi (FC Barcelona)
Mshahara wa wiki: £275,000 baada ya ushuru
Mshahara wa mwaka: £14.5m baada ya ushuru
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Mshahara wa wiki : £288,000 baada ya ushuru
Mshahara wa mwaka: £15m baada ya ushuru
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment