MANCHESTER YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-1


Kikosi cha Manchester City kilichoifunga mabao 3-1 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana mjini Kiev. Mabao ya City yalifungwa na Sergio-Aguero, David-Silva na Yaya Toure, wakati la Dynamo lilifungwa na Vitaliy Buyalskiy


Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: