KUTOKA RADIO BEST FM LUDEWA
LUDEWA
Wananchi wanaoishi katika kijiji cha mahorong'wa wilayani ludewa mkoani njombe wameiomba serikali kumbadilisha mkandarasi ambaye anaendelea na ujenzi wa daraja la kutoka maholongwa kwenda amani kwani hawaridhishwi na kasi ya uendeshaji wa ujenzi wa mkandarasi huyo.
Wakizungumza na radio best fm wananchi hao wamesema kuwa mkandalasi huyo alikabidhiwa daraja hilo tangu mwezi wa nane mwaka jana mpaka sasa hajaonesha waraka wa kumaliza daraja hilo huku wananchi hao wakipata tabu ya kutoka mahorongwa na kwenda amani ili kupata maitaji yao kutokana na ucheleweshwaji wa ujenzi wa daraja hilo.
Kwa uapande wake mwenyekiti wa kijiji cha mahorong'wa amesema kuwa awali alimfikishia mkandalasi huyo malalamiko ya wananchi wake kumtaka amalize ujenzi wa daraja hilo kwa wakati ili wananchi waweze kutoka maorongwa na kwenda amani, amabapo mkandarasi huyo amemuhakikishia kuwa atamaliza mweezi wa tatu mwaka kesho.
Ludewa yetu na maendeleo yetu

0 comments:
Post a Comment