Ludewa yetu na maendeleo yetu
LUDEWA
Mwalimu wa shule ya msingi kimelembe kata ya nkomang'ombe wilaya ya ludewa mkoani njombe anayetambulika kwa jina la NAVIUS FUNGO (45) amekamatwa na wanakijiji wa kijiji hicho kwa kosa la kuwabaka wanafunzi wanne ambao wa kwanza ana miaka 12 wapili 13 na watatu ana miaka 15 katika siku tofauti ndani ya mwezi wa 11 wanaosoma shule ya msingi kimelembe.
Wakizungumza na radio best fm na njenje habari blog mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa mwalimu huyo wamemkamatia maeneo ya jirani na kanisa la lutherani kimelembe akiwa na wanafunzi wawili wa shule ya msingi kimelembe ambao alikuwa ameshawafanyia kitendo cha kuwabaka na kuongeza kuwa hiyo ni tabia yake ambapo awali mwalimu huyo alihamishwa shuleni hapo akitokea shule ya msingi kipangala kutokana na tabia yake ya kuwabaka wanafunzi.
kwa upande wake mwenyekiti wa kijiji hicho amebainisha kuwa amepata malalamiko ya wananchi kwa mda amrefu sasa ambapo ndani ya mwezi wa 11 pekee mwalimu huyo amewabaka wanafunzi wa nne sababu iliyopelekea wananchi kushirikiana na uongozi wa kijiji kamkamata mwalimu huyo na kudai kuwa watampeleka katika vyombo vya dola.
Aidha mtendaji kata wa kijiji hicho amefafanua kuwa amepokea taarifa hiyo kwa mshituko mkubwa huku na kusisitiza kuwa ni lazima mtuhumiwa afikishwe katika kituo cha polisi ili sheria ichukue mkondo wake ili kukkomesha tabia hiyo kwa walimu wangine ambao wana mchezo mchafu kama huo.
njenje habari blog itaendelea kufuatilia na kuendelea kukujulisha zaidi juuu ya hatua zitakazo chukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.

0 comments:
Post a Comment