Mshambuliaji
wa Liverpool, Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuifungia mabao
mawili timu yake ikishinda 3-2 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Anfield
katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi. Bao lingine la Liverpool
lilifungwa na James Milner wakati ya Villa yalifungwa na Rudy Gestede PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment