Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015
zimeendelea Tanzania, leo nakusogezea hii kutoka Jimbo la Hai Mkoa wa
Kilimanjaro.. Mbunge anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amefika leo Jimboni kwake na kuzindua Kampeni zake za kugombea Ubunge kwa mara nyingine, wapo waliomsindikiza pia !!
Mgombea Urais kupitia CHADEMA na Umoja wa Vyama vya UKAWA, Edward Lowassa na wengineo ikiwemo James Mbatia walikuwepo kwenye uzinduzi wa Kampeni hizo.
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment