TIMU
ya Manchester City imepoteza mchezo wa pili katika Ligi Kuu ya England
msimu huu kufuatia kipigo cha mabao 4-1 kutoka Tottenham Hotspurt Uwanja
wa White Hart Lane
City ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 25 kupitia kwa Kevin De Bruyne, kabla ya Eric Dier kusawazisha dakika ya 45.
Toby
Alderweireld akaifungia bao la pili Spursdakika ya 50 kabla ya Harry
Kane kufunga la tatu dakika ya 61 na Erik Lamela la nne dakika ua 79.
Kikosi
cha Tottenham kilikuwa; Lloris, Walker, Alderweireld, Vertonghen,
Davies, Dier, Alli, Lamela/Carroll dk87, Son Heung-min/N'Jie dk75,
Eriksen/Chadli dk68 na Kane.
Manchester
City; Caballero, Sagna, Demichelis, Otamendi, Kolarov,
Fernandinho/Nasri dk69, Fernando, De Bruyne, Toure/Jesus Navas dk56,
Sterling na Aguero/Roberts dk86.
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment