DABI YA KARIAKOO: SIMBA PWAAA…MABINGWA YANGA MBELE KWA MBELE

VPL-SIMBA-YANGAJiji la Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa, Leo ulikuwa ni nderemo na vifijo kwa Yanga baada ya kuitandika Simba 2-0 katika Mechi ya Ligi Kuu Vodacom, VPL, ushindi ambao umewachimbia kileleni mwa Ligi hii.
Bao za Yanga hii Leo zilifungwa na Amisi Tambwe katika Dakika ya 44 na Malimi Busungu katika Dakika ya 79.
Ushindi huu umeifanya Yanga iwe na Pointi 12 baada ya kushinda Mechi zote 4 za VPL sasa wakifuatiwa na Mtibwa Sugar ambao pia wana Pointi 12 lakini wana uhafifu wa Mabao.

VIKOSI:
SIMBA: Peter Manyika, Hassan Kessy [Pape Abdoulaye N’daw, 84’], Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Hassan Isihaka, Juuko Murushid, Justice Majabvi, Awadh Juma, Said Ndemla, Hamisi Kiiza, Mwinyi Kazimoto na Mussa Hassan Mgosi [Ibrahim Hajib, 62’]
YANGA: Ally Mustafa ‘Barthez’, Mbuyu Twite, Mwinyi Kazimoto, Kevin Yondan, Thabani Kamusoko, Simon Msuva [Malimi Busungu, 34’] Salum Telela [Said Juma, 82’], Amissi Tambwe [Deus Kaseke, 87’], Donald Ngoma, Haruna Niyonzima
REFA: Israel Nkongo (Dsm)
SIMBA-YANGA-0-2

LIGI KUU VODACOM
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Septemba 26
Simba 0 Yanga 2
Coastal Union 0 Mwadui 0
Tanzania Prisons 1 Mgambo Shooting 0
JKT Ruvu 0 Stand United 1
Mtibwa Sugar 1 Majimjaji 0
Kagera Sugar v Toto Africans (Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora)
Jumapili Septemba 27
Azam FC v Mbeya City
African Sports v Ndanda FC




Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment