LIGI KUU ENGLAND RATIBA/MATOKEO:
Ligi Kuu England:
**Saa za Bongo
Jumamosi Septemba 2
Tottenham 4 Man City 1
Leicester 2 Arsenal 5
Liverpool 3 Aston Villa 2
Man United 3 Sunderland 0
Southampton 3 Swansea 1
Stoke 2 Bournemouth 1
West Ham 2 Norwich 2
1930 Newcastle v Chelsea
+++++++++++++++++++++++++
Manchester United Leo wamewashusha Wapinzani wao wa Jadi Manchester City toka kileleni mwa Ligi Kuu England na wao kukamata hatamu baada ya kuichapa Timu ya mkiani Sunderland Bao 3-0 Uwanjani Old Trafford.
Mapema hii Leo, Tottenham iliwatandika waliokuwa Vinara wa Ligi Kuu England Man City 4-1 na kutoa nafasi kwa Man United kuchungua uongozi baada ya Memphis Depay, Wayne Rooney na Juan Mata kufunga Bao.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea; Valencia, Smalling, Blind (Jones - 74'), Darmian; Carrick (Schweinsteiger - 68'), Schneiderlin, Mata; Rooney, Depay (Young - 77'), Martial.
Akiba: Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Pereira.
Sunderland: Pantilimon; Jones, Kaboul, O’Shea, Van Aanholt; M’Vila, Cattermole, Johnson (Fletcher - 45'), Toivonen (Larsson - 70'); Lens, Borini.
Akiba: Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
REFA: Mike Jones
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
Ligi Kuu England:
**Saa za Bongo
Jumapili Septemba 27
1800 Watford v Crystal Palace
Jumatatu Septemba 28
2200 West Brom v Everton
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment