Mechi
za Marudiano za Raundi ya 3 ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI zitachezwa
Jumanne na Jumatano huku AS Monaco ya France na FC Basel ya Uswisi
wakiwa na nafasi nzuri kutinga Raundi ya Mwisho ya Mchujo ambayo
Washindi hutinga Makundi.
Timu 30 zinashiriki Mechi hizi ili kupata Washindi 15 ambao
watajumuishwa na Timu 5, zikiwa ni Manchester United, Valencia, Bayer
Leverkusen, Sporting Lisbon na Lazio, kwenye Droo itakayofanyika Ijumaa
Agosti 7 ili kupanga Mechi 10 za Raundi ya Mwisho ya Mchujo.
Washindi 10 wa Raundi ya Mwisho ya Mchujo watajumuishwa na Timu 22
zilizofuzu moja kwa moja Makundi, wakiwemo Mabingwa Barcelona, ili
kupanga Makundi 8 ya Timu 4 kila moja.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
MECHI ZA PILI ZA RAUNDI YA 3 MTOANO:
Raundi ya 3 ya Mtoano
**Saa za Bongo
**Kwenye Mabano Mabao ya Mechi za Kwanza
Jumanne Agosti 4
20:00 Apoel Nicosia - Cyprus v FC Midtjylland - Denmark [ 2:1]
20:00 Molde FK - Norway v NK Dinamo Zagreb - Croatia [1:1]
21:15 Ajax Amsterdam - Netherlands v SK Rapid Wien - Austria [ 2:2]
21:45 AS Monaco FC - France v BSC Young Boys - Switzerland [3:1]
Jumatano Agosti 5
17:00 FC Astana - Kazakstan v HJK Helsinki - Finland [0:0]
19:30 Qarabag Agdam FK - Azerbaijan v Celtic - Scotland [0:1]
19:45 AC Sparta Prague - Czech Republic v CSKA Moskva - Russia [2:2]
20:30 FC Bate Borisov - Belarus v Videoton Szekesfehervar - Hungary [1:1]
21:15 FC Basel 1893 - Switzerland v KKS Lech Poznan - Poland [3:1]
21:30 Club Brugge KV - Belgium v Panathinaikos - Greece [1:2]
21:30 Malmö FF - Sweden v Red Bull Salzburg - Austria [0:2]
21:30 FK Partizan - Serbia v Steaua Bucurest - Romania [1:1]
21:45 FC Shakhtar Donetsk - Ukraine v Fenerbahçe - Turkey [0:0]
21:45 FC Viktoria Plzen - Czech Republic v Maccabi Tel Aviv FC - Israel [2:1]
21:45 Skenderbeu - Albania v FC Milsami - Moldova [2:0]
KALENDA
-Droo ya Raundi ya Mwisho ya Mchujo: Agosti 7
**Mechi kuchezwa Agosti 18/19 na Marudiano Agosti 25/26
MAKUNDI
-Timu 22 zinazoanzia Hatua ya Makundi:
CHUNGU NA 1: FC Barcelona (ESP, Mabingwa Watetezi), FC Bayern
München (GER), Chelsea FC (ENG), SL Benfica (POR), Paris Saint-Germain
(FRA), Juventus (ITA), FC Zenit (RUS), PSV Eindhoven (NED)
VYUNGU VINGINE: Real Madrid CF (ESP), Club Atlético de Madrid
(ESP), FC Porto (POR), Arsenal FC (ENG), Manchester City FC (ENG),
Sevilla FC (ESP), Olympique Lyonnais (FRA), FC Dynamo Kyiv (UKR),
Olympiacos FC (GRE), Galatasaray AŞ (TUR), AS Roma (ITA), VfL Borussia
Mönchengladbach (GER), VfL Wolfsburg (GER), KAA Gent (BEL)
TAREHE MUHIMU:
-Droo Hatua ya Makundi: Agosti 27
-Ratiba Mechi za Makundi:
Mechidei 1: 15/16 Septemba
Mechidei 2: 29/30 Septemba
Mechidei 3: 20/21 Oktoba
Mechidei 4: 3/4 Novemba
Mechidei 5: 24/25 Novemba
Mechidei 6: 8/9 Decemba
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
0 comments:
Post a Comment