Mgombea
urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, akiwahutubia wananchi wa Mkoa
wa Njombe katika kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
DK MAGUFULI AZIDI
KUPETA KAMPENI ZA URAIS MKOANI NJOMBE
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia
katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini
Njombe
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula akihutubia kwa
kumnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli katika
mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimtambulisha
Naibu Waziri wa Ujenzi, ambaye anagombea ubunge Jimbo la Njombe
Kaskazini, Gerson Lwenge katika mkutano wa hadhara wa kampeni wilayani
Wanging'ombe, mkoani Njombe
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole akitumbuiza leo kwenye
mkutano wa kumnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uwanja
wa Sabasaba mjini Njombe.
Dk Magufuli akitoa shukrani kwa viongozi wa CCM Mkoa wa Mbeya baada ya
kumaliza ziara mkoani humo na kuanza kampeni katika Mkoa wa Njombe
Dk.Magufuli akijinadi kwa wananchi na kutoa ahadi katika nKijiji cha
Igoma, Mbeya Vijijini aliposimama kwa muda akielekea Makete mkoani
Njombe kuendelea na kampeni. Akichaguliwa ameahidi kujenga barabara ya
lami ya Njombe hadi Mbeya kuptia Makete na kijijini hapo. PICHA ZOTE NA
RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wananchi wakishangilia baada ya kuelezwa na Dk Magufuli kuhusu ijenzi
wa barabara ya lami itakayopita kijijini hapo
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli kijijini hapo
Dk Magufuli akijinadi katika Kijiji cha Ilungu Mbeya Vijijini mpakani
na Mkoa wa Njombe
Wananchi wakishangilia huku wakiwa na vipeperushi vyenye picha za Dk
Magufuli
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), ambaye pia alikuwa
Mbunge wa Jimbo la Makete, Binilith Mahenge akimpigia debe Dk Magufuli
pamoja na Mgombea ubunge wa Jimbo la Makete, Norman Sigalla.
Dk. Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano uliofanyika Iwawa
wilayani Makete
Dk Magufuli akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Makete, Dk Norman
Sigalla katika mkutano wa kampeni uliofanyika Iwawa Makete
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu nchini, Amon Mpanju
akimpigia debe Dk Magufuli eneo la Iwawa wilayani Makete
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli mjini Makete
Dk Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafuasi wa vyama
vya upinzania waliovihama vyama vyao na kujiunga na CCM katika mkutano
wa kampeni za CCM uliofanyika Iwawa, Makete leo.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mmoja wa wafuasi wa Chadema akiwa amesamama karibu na pikipiki yenye
bendera ya chama hicho huku akimsikiliza kwa makini Dk Magufuli
akijinadi katika Kijiji cha Kenja, wilayani Makete leo.
Mfuasi wa Chadema (kulia) akishangilia baada ya kumsikia Dk Magufuli
akitangaza kwamba akichaguliwa kuwa urais watoto watakuwa nasoma bure
kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne. Kutano huo ulifanyika
katika Kijiji cha Kenja wilayani Makete baada ya msafara kuzuiwa
wananchi katika eneo hilo wakiwa na hamu ya kusikiliza sera zake.
Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Kenja wakimsikiliza Dk Magufuli
huku wakiwa na mabango yenye picha za mgombea huyo wa urais wa CCM
Dk Magufuli akisisitiza jambo katika mkutano uliofanyika katika Kijiji
cha Kenja wilayani Makete
Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM, William Lukuvi
akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula
katika mkutano wa kampeni wilayani Wangi ng'ombe, Mkoa wa Njombe leo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana akihutubia katika kutano wa
kampeni wa kumnadi Dk Magufuli wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula akisalimiana na
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli katika mkutano
wa hadhara wa kampeni wilayani Wanging'ombe, mkoani Njombe
Wananchi wa Kijiji cha Igagala wakiwa na mabango yenye ujumbe
mbalimbali walipokuwa wakimlaki Dk Magufuli, wilayani Wanging'ombe,
Njombe
Dk Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Igagala, wilayani
Wanging'ombe
Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa CCM mjini Njombe
Msanii Cgegge akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja
wa Sabasaba mjini Njombe leo
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

Mgombea urais wa
Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa
hadhara wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe

0 comments:
Post a Comment