Man United yashinda 4-0,Rooney apiga Hat Trick


Wayne Rooney akishangilia
Wayne Rooney akishangilia
Man United leo imefanya kweli baada ya kuitandika Club Bruges magoli manne wa bila huku mshambuliaji wake Wayne Rooney akiifungia timu hiyo magoli matatu.
Rooney ambaye alikuwa akiandamwa na ukame wa mabao, amepiga zote tatu, huku Herrera akipiga moja katika ushindi wa Manchester United wa mabao 4-0 dhidi ya Club Bruges ya Ubelgiji iliyokuwa nyumbani.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: