LISTI
ya FIFA ya Ubora Duniani kwa Mwezi Agosti imetolewa huku Argentina
ikibaki Nafasi ya Kwanza na Tanzania kuporomoka Nafasi 1 na kushika
Nafasi ya 140.
Katika 10 Bora, Mabingwa wa Dunia Germany wameshuka Nafasi 1 na kushika Nafasi ya 3 huku
Timu ya juu kabisa toka Barani Afrika ni Algeria ambayo ipo pale
pale Nafasi ya 19 na kufuatiwa na Ivory Coast waliobakia Nafasi ya 21.
10 BORA:
1. Argentina
2. Belgium (Imepanda nafasi 1)
3. Germany
4. Colombia
5. Brazil (Imepanda 1)
6. Portugal (Imepanda 1)
7. Romania (Imepanda 1)
8. England (Imepanda 1)
9. Wales (Imepanda 1)
10. Chile (Imepanda 1)
0 comments:
Post a Comment