Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa orodha ya majina 138 ya wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu.
Taarifa imeeleza kuwa majimbo ambayo hayatakuwa kwenye orodha hiyo yatatolewa baada ya kukamilika kwa mashauriano ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Katika mgawanyo wa UKAWA wa majimbo 253 Kati ya 265 ya kuwania ubunge, Chadema imeongoza kwa kupata majimbo 138 (54%), ikifuatiwa na CUF majimbo 99 (29% yakiwemo 49 ya Zanzibar), NCCR-Mageuzi majimbo 14 (5.5%) na NLD majimbo matatu (1.2%).
Orodha kamili hii hapa
Mara
Rorya STEVEN J OWAWA
Tarime Mjini ESTHER N MATIKO
Tarime Vijijini JOHN HECHE
Musoma Vijijini ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
Butiama YUSUPH R KAZI
Bunda Mjini ESTHER BULAYA
Mwibara HARUN D CHIRIKO
Musoma Mjini VINCENT J NYERERE
Bunda Vijijini SULEIMAN DAUDI
Simiyu
Bariadi GODWIN SIMBA
Maswa Magharibi ABDALA PATEL
Maswa Mashariki SYLVESTER KASULUMBAYI
Kisesa MASANJA MANANI
Meatu MESHACK OPULUKWA
Itilima MARTINE MAGILE
Shinyanga
Msalala PAULO MALAIKA
Kahama Mjini JAMES LEMBELI
Kahama Vijijini (Ushetu) SIMON BUKAKIYE ISAYA
Shinyanga Mjini PATROAS PASCHAL K
Kishapu FRED T MPENDAZOE
Mwanza
Ukerewe JOSEPH MKUNDI
Magu KALWINZI NGONGOSEKE
Nyamagana EZEKIA D. WENJE
Buchosa MARTINE KASWAHILI
Sengerema HAMIS TABASAMU
Ilemela HIGHNESS KIWIA
Misungwi LEONIDAS KONDELA
Geita
Bukombe PROF. KULIKOYELA KAHIGI
Busanda ALPHONCE C MAWAZO
Nyang’wale GEORGE MABULA
Chato DR. BENEDICT LUKANIMA
Mbogwe NICODEMUS H MAGANGA
Kagera
Karagwe PRINCE RWAZO
Kyerwa BENEDICT MTUNGIREHI
Bukoba Mjini WILFRED LWAKATARE
Muleba Kaskazini ANSBERT NGURUMO
Muleba Kusini ALISTIDES KASHASILA
Biharamulo DR. ANTHONY MBASSA
Mbeya
Lupa NJELU KASAKA
Songwe MPOKI MWANKUSYE
Mbeya Mjini JOSEPH MBILINYI
Kyela ABRAHAM H MWANYAMAKI
Rungwe JOHN D MWAMBIGIJA
Busokelo BONIPHACE A MWAMUKUSI
Mbozi PASCHAL HAONGA
Momba DAVID E SILINDE
Mbeya Vijijini ADAM NZELA
Tunduma FRANK MWAKAJOKA
Vwawa FANUEL MKISI
Iringa
Ismani PATRICK OLE SOSOPI
Kalenga MUSSA L MDEDE
Mufindi Kaskazini JUMANNE K MASONDA
Iringa Mjini PETER MSIGWA
Kilolo BRIAN KIKOTI
Mafinga Mjini WILLE MUNGAI
Njombe
Njombe Kusini EMMANUEL MASONGA
Lupembe (Njombe Kask) EDWIN E SWALE
Wanging’ombe DISMAS A LUHWAGO
Makete JACKSON T MOGELA
Ludewa ATHROMEO MKINGA
Makambako ORAPH MHEMA
Rukwa
Nkasi Kusini ALFRED DANIEL SOTOKA
Kwela DANIEL NAFTAL NGOGO
Nkasi Kaskazini KESSY SOUD
Sumbawanga Mjini SADRICK MALILA
Kalambo VICTOR MATENI
Tanga
Kilindi JERADI K MREMA
Muheza ERNEST MSINGWA
Korogwe AMANI H KIMEA
Korogwe Vijijini EMMANUEL KIMEA
Kilimanjaro
Rombo JOSEPH SELASIN
Same Magharibi CHRISTOPHER S MBAJO
Same Mashariki NAGENJWA KABOYOKA
Moshi Mjini JAFARY P MICHAEL
Hai FREEMAN A MBOWE
Siha DR. GODWIN MOLLEL
Arusha
Arumeru Mashariki JOSHUA NASSARI
Arumeru Magharibi GIBSON MESIYEKI
Arusha Mjini GODBLESS LEMA
Longido ONESMO OLE NANGOLE
Monduli JULIUS KALANGA
Karatu WILLE QAMBALO
Ngorongoro ELIAS NGORISA
Manyara
Simanjiro JAMES KINYASI OLE MILLYA
Mbulu Vijijini MIKEL PETRO AWEDA
Hanang MAGOMA RASHID DERICK
Babati Mjini PAULINE P GEKUL
Babati Vijijini LAURENT SURUMBU TARRA
Kiteto KIDAWA ATHUMANI IYAVU
Mbulu Mjini PAULO HERMAN SULLE
Dar es Salaam
Ubungo SAED KUBENEA
Kawe HALIMA JAMES MDEE
Ukonga MWITA MWIKWABE WAITARA
Ilala MUSLIM HASSANALI HEIDERALI
Kibamba JOHN JOHN MNYIKA
Pwani
Chalinze MATHAYO TM. TORONGEY
Kibaha Mjini MICHAEL PAUL MTALY
Kibaha Vijijini EDITHA BABBEIYA
Morogoro
Mikumi JOSEPH HAULE
Morogoro Kusini DAVID LUKAGINGIRA
Kilombero PETER E LIJUALIKALI
Mlimba SUZAN L. KIWANGA
Mvomero OSWALD MLAY
Ulanga Magharibi ALPHONCE MBASSA
Ulanga Mashariki PANCRAS KONGOLI
Morogoro Mjini MARCOSSY ALBANIE
Dodoma
Kongwa ESAU NGOMBEI
Dodoma Mjini SINGO BENSON KIGAILA
Bahi MATHIAS LYAMUNDA
Chilonwa JOHN CHOGONGO
Singida
Iramba Magharibi JESCA KISHOA
Iramba Mash(Mkalama) OSCAR KAPALALE
Singida kaskazini DAVID DJUMBE
Singida Mashariki TUNDU A LISSU
Singida Magharibi MARCO ALLUTE
Manyoni Magharibi LUPAA DONALD
Manyoni Mashariki ALLUTE EMMANUEL
Tabora
Nzega Mjini CHARLES MABULA
Igunga NG’WIGULU KUBE
Urambo SAMWELI NTAKAMLENGA
Ulyankulu DEUS KITAPANDYA NGERERE
Sikonge SAID NKUMBA
Manonga ALLY KHALFANI NGUZO
Katavi
Mpanda Mjini JONAS KALINDE
Mpanda Vijijini MUSSA MASANJA
Katavi GEORGE SAMBWE
Nsimbo GERALD KITABU
Kavuu LAURENT SENGA MANGWESHI
Kigoma
Kigoma Kaskazini DR. YARED FUBUSA
Kigoma Mjini DANIEL LUMENYELA
Ruvuma
Peramiho ELASMO MWINGIRA
Mbinga Magharibi/Nyasa CUTHBERT S. NGWATA
Mbinga/Mbinga Vijijini EDWIN B AKITANDA
Songea Mjini JOSEPH FUIME
Madaba EDSON MBOGORO
0 comments:
Post a Comment