AUDI CUP, iliyokuwa ikichezwa huko Allianz Arena Jijini Munich, Germany, imemalizika Leo na Wenyeji Bayern Munich kutwaa Kombe kwa kuifunga Real Madrid 1-0.
Bao la ushindi la Bayern lilifungwa Dakika ya 88 kufuatia Frikiki ya Douglas Costa kuunganishwa na Robert Lewandowski.
VIKOSI:
Bayern (Mfumo 4-2-3-1): Neuer; Rafinha, Boateng, Benatia, Lahm; Xabi Alonso, Vidal; Costa, Gotze, Alaba; Muller.
Real Madrid (Mfumo 4-2-3-1): Keylor Navas; Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo; Kroos, Casemiro; Vazquez, Isco, Cheryshev; Jese.
SPURS 2 AC MILAN 0
Awali ilichezwa Mechi ya kusaka Mshindi wa 3 na Tottenham Hotspur kuifunga AC Milan Bao 2-0 kwa Bao za kila Kipindi za Nacer Chadli, Dakika ya 8, na
8'Goal Nacer Chadli na Thomas Carroll, Dakika ya 71.
Tottenham na AC Milan zote zilitolewa Jumanne Usiku kwa AC Milan kuchapwa 3-0 na Bayern na Real kuichapa Tottenham 2-0.
VIKOSI:
AC MILAN (Mfumo 4-3-1-2): Abbiati; Abate, Alex, Mexes, Calabria; Poli, Montolivo, Mauri; Suso; Matri, Cerci.
Akiba: Bacca, Ely, Bertolacci, Nocerino, Luiz Adriano, De Sciglio, Honda, Diego Lopez, Bonaventura, Paletta, Antonelli, De Jong, Donnarumma.
TOTTENHAM (Mfumo 4-2-3-1): McGee; Trippier, Fazio, Vertonghen, Davies; Dier, Bentaleb; Onomah, Lamela, Carroll; Chadli.
Akiba: Lloris, Walker, Rose, Alderweireld, Vorm, Kane, Dembele, Alli, Eriksen, Wimmer, Mason, Winks.
RATIBA
Jumatano Agosti 5
Mshindi wa 3
AC Milan 0 Tottenham 2
Fainali
Bayern Munich 1 Real Madrid 0
0 comments:
Post a Comment