Adi Yussuf ni moja kati ya wachezaji wa watano wa kimataifa waliojumuishwa katika kikosicha Timu ya taifa (Taifa stars) ambacho Agosti 23 kitaelekea kambini nchini Uturuki kwa kambi ya siku kumi.
Adi ambaye anakipiga Mansfield ya nchini uingereza ni Mbwana Samata, ameitwa kwa mara ya kwanza kujiunga na kikosi cha timu ya taifa huku watu wengi wakiangalia kama kocha Mkwasa atampanga katika kikosi cha kwanza au ataanzia benchi.
Wengine wa kimataifa walioitwa ni pamoja na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe – DR Congo), Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) na Hassan Sembi (Santos FC – Afrika Kusini) na Adi Yussuf (Mansfield Town – Uingereza)
0 comments:
Post a Comment