Urais 2015: Lowassa adaiwa kutua Chadema


Mbunge wa Monduli Edward Lowassa katika kikao cha Kamati kuu Chadema.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa katika kikao cha Kamati kuu Chadema.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimina ana baadhi ya viongozi wa Chadema.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimina ana baadhi ya viongozi wa Chadema.
Kikao cha kizito cha Kupendekeza jina la  mgombea Urais  kupitia chama cha Chadema  kimefanyika kwa usiri mzito huku  mgeni Rasmi akiwa Mbunge wa Monduli Edward Lowassa.
Aidha,Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuanzia wiki kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa katika siasa za Tanzania. Inawezekana kuwa hiyo ni moja ya dalili.
Mara baada  ya   kikao hicho cha Kamati kuu Chadema  inadaiwa kuwa muda wowote kuanzia hivisasa kutakuwa na Kikao cha Waandishi wa Habari kitakachoa toa taarifa katika kwa umma.
Endelea kutembelea mtandao wa Hivisasa kwa zaidi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: