Basi lagonga Treni, watu wawili wafariki dunia na wengine kujeruhiwa


Muonekano wa basi mara baada ya kupata ajali.
Muonekano wa basi mara baada ya kupata ajali.
Wananchi wakitoa msaada katika eneo la ajali.
Wananchi wakitoa msaada katika eneo la ajali.
Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia papo hapo kufuatia ajali ya Basi kugonga treni iliyotokea katika barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo mkoani Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili  huku waliotambuliwa wakiwa  ni wawili.
Mtandao  wa Hivisasa utakujulisha zaidi kuhusiana na ajali hiyo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: