
Mbunge
wa Chadema Chiku Abwao akikabidhiwa kadi ya ACT-Wazalendo baada ya
kuhamia rasmi ACT-Wazalendo anayemkabidhi kadi ni Katibu wa Mipango na
Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange.
Mbunge Mwingine ni aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao kuhamia ACT-Wazalendo na kupewa kadi na Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange.
Hivyo basi leo tu Chadema imewapotoeza wabunge wawili.
Hivi karibuni wabunge wawili CCM ambao ni Ester Bulaya pamoja na James Lembeli walihamia chama cha Demokarsia na Maendeleo (CHADEMA).
0 comments:
Post a Comment