PINDI CHANA ABWAGWA VIBAYAUCHAGUZI UBUNGE VITI MAALUM- NJOMBE
matokeo ya ubunge viti maalum mkoa Njombe ni kama ifuatavyo
Dkt Susan Kolimba kapata kura 252, Neema Mgaya 213,Pindi Hazara
Chana 164, Elika Sanga 107, Rosmaly Sitaki 38, Magreth Kyando 5, pia
mwakilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali NGO's wa mkoa wa Njombe kwa
viti maalumu ni Mwina Japhet Nebo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment