
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akiwasili mkoani Mwanza leo.
Maelfu ya wananchi leo wamejitokeza kuwapokea wanachama wapya
kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM ambao ni Mzee James Lembeli na Easter
Bulaya ambayo wamekihama chama Chama cha Mapinduzi kwa madai mbalimbali
ikiwemo kuhujumiwa.
Aidha, Dk. Wildroad Slaa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
nao walikuwepo pamoja na wanachama wengine akiwemo Mbunge wa Kawe
Halima Mdee.
Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewakabidhi rasmi kadi za
uanachama wanasiasa hao wapya ambao ni James Daudi Lembeli na
aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya

Waliokuwa wabunge wa CCM, Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment