
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Simiyu Express
Lililokuwa likitokea mkoani Simiyu kuelekea jijini D ar es salaam
limeacha njia na kugonga mbuyu katika eneo la Malecela Mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na ITV watu wengi wamepoteza
maisha na wengine wamejeruhiwa, na kwamba majeruhi hao wamepelekwa
katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma. Endelea kufuatili NJENJE HABARI BLOG kwa taarifa zaidi
0 comments:
Post a Comment