Baadhi ya wasomi nchini wamempongeza Mh.Lowassa kwa kujiunga na CHADEMA

Siku moja baada ya mbunge wa Monduli Edward Lowassa kujiunga na Chadema baadhi ya wasomi nchini wamempongeza kwa ujasili aliouonyesha.

Kabla ya kujiunga na Chadema, wadadi wa masuala ya siasa za Afrika wanasema ni Tanzania na Zimbabwe pekee ndizo zilizokuwa bado hazijatikishwa kisiasa, lakini kwa Tanzania Julai 28 bado itakumbukwa.
 
Katika mahojiano maalum jijini Dar es Salaam mchambuzi wa masuala ya kisiasa Prof. Kitila Mkumbo anasema kimsingi Bw Edward anapaswa kupongezwa.
 
Licha ya  kutajwa kulamba dume, mhadhiri huyu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam anasema Chadema bado wanakazi kubwa ya kufanya Dr.Onesmo Kiauke mhadhiri wa sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam anasema Bw Edward amebadili siasa za Tanzania

wadadisi wa siasa bado wanasisitiza wanasiasa kuhakikisha wanafanya saisa kistraabu na kwamba kuwa tayari na chochote kinachoweza kutokea katika chaguzi za mwaka huu.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: