Wassira atangaza nia ya kugombea Urais 2015

Joto la Urais limezidi kupanda kufuatia mwanasiasa mwingineambaye ni mkongwe katika medani za siasa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira kutangaza niaya kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba mwaka 2015 kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).Wassira ametangaza nia katika mkuu ukumbi wa BOT jijini Mwanza. Akiwahutubia mamia ya wananchi amesema ameteuliwa kuwa kiongozi nchini na marais wa awamu zote nne kutokana na kuwa na imani naye.Kwa upande wa Kauli mbiu amesema kauli mbiu yake ni Uchumi Imara kwa Tanzania mpya.Wassira ni mwanasiasa wa tatuwa chama cha Mapinduzi kutangaza nia ya kuwania uongozi wa nchi akiwemo Edward Lowassa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: