Mwanamke afungwa jela kwa Kupiga kelele ‘akinogewa’

Mwanamke mmoja kwenye mji wa Birmingham nchini Uingereza amekumbwa na kifungo cha wiki 2 jela baada yakupatikana na hatia ya kupiga kelele wakati akifanya mapenzi na rafiki yake wa kiume na. Hukumu hiyo imetolewa baada ya watu wa karibu wa Gemma Wale kufikisha suala hilo kwenye vyombo vya sheria. Jirani wa mwanamke huyo walipohojiwa wamesema yapata miaka miwili anakerwa na suala la kelele za muziki, milango kufungwa kwa nguvu na sauti ya juu wakati wa kufanya mapenzi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: